kwetukubaya
Senior Member
- Jun 25, 2022
- 108
- 211
fikiri kwa kichwa na sio makalioOk nimeangalia tena hilo, nakiri hapo nimekosea ila mengine yote niliyosema yanabaki hivyo hivyo. Kabla ya ile penati Zimbwe ndiye aliachwa na mchezaji wa Primeiro, nikachanganya nikidhani yeye ndiye alikuja kunawa.
Winga wao hatari anaitwa camilo anacheza upande ule leo zimbwe alikua na kazi ya ziada sanaPenati kasababisha Kennedy
Pili zimbwe alikuwa busy leo....., nadhani upande wake anacheza mchezaji tegemeo/ ndio upande wanaoutumia sana hawa jamaa...
Mpaka hapo umeonekana huna uhakika na unachoongea, mpaka ukumbushwe ndio uone tatizo lilipoanzia? usirudie tena kuleta Utopolo wako hapaOk nimeangalia tena hilo, nakiri hapo nimekosea ila mengine yote niliyosema yanabaki hivyo hivyo. Kabla ya ile penati Zimbwe ndiye aliachwa na mchezaji wa Primeiro, nikachanganya nikidhani yeye ndiye alikuja kunawa.
Kweli wajinga kama wewe mpo wengi sana na wote mnamajina ya Chura!Katika tathmini yangu ya uchezaji na mchango wa Mohammed Hussein kwa timu ya Simba, uchezaji wake umekuwa unaleta makosa mengi kwa timu.
Mfano katika mechi ya leo, Zimbwe alifanya makosa mengi sana. Yaani inafikia wakati kila akipata mpira, unategemea kuna ujinga ataenda kufanya. Akiwa anakaba lazima atafanya kosa.
Kuna kona alisababisha kipindi cha kwanza, yuko nje ya goli, mchezaji pinzani yuko mbali, akautoa mpira nje akiwa peke yake ili iwe kona!
Akiwa uwanjani anajiamini sana kama vile anafanya vitu vya maana ila ni moja ya mapungufu ya timu kwa sasa.
Upande wake yule winga hatari sana mara nyingi alikuwa anajaribu kumchekecha sana Hussein ili aingie ndani ya box la 18.Penati kasababisha Kennedy
Pili zimbwe alikuwa busy leo....., nadhani upande wake anacheza mchezaji tegemeo/ ndio upande wanaoutumia sana hawa jamaa...
Sio Simba tu......Upande wake yule winga hatari sana mara nyingi alikuwa anajaribu kumchekecha sana Hussein ili aingie ndani ya box la 18.
Lakini Hussein anasalia kuwa Beki bora kabisa upande wa kushoto Simba SC.
Umejawa na chuki tu. Kwa hiyo wewe una haki ya kukosea ila Zimbwe hana haki hiyo?Ok nimeangalia tena hilo, nakiri hapo nimekosea ila mengine yote niliyosema yanabaki hivyo hivyo. Kabla ya ile penati Zimbwe ndiye aliachwa na mchezaji wa Primeiro, nikachanganya nikidhani yeye ndiye alikuja kunawa.