Kaka ni noma sana huyu mjuba mbaka namwogopaHaimbwi sana na mashabiki,haongelewi sana na vyombo vya habari,labda kwakua yeye ni Mtanzania,Watanzania hatuna tabia ya kusifia vya kwetu,au ndo Nabii hakubaliki kwao?.Itoshe kusema kua huyu ndo beki wa kushoto bora katika kipindi cha miaka 10 ya karibuni.Juhudi,Nidhamu na Kujituma ndiyo siri ya ubora wake.Kiukweli Zimbwe Jr hapewi heshima ambayo anastahili kupewa.Ufike wakati tuanze kusifu kipaji alichobarikiwa na Mungu.View attachment 2149156
Kijana yupo vizur sana anatakiwa alipwe mshahara sawa na chama anafanya vizurHaimbwi sana na mashabiki,haongelewi sana na vyombo vya habari,labda kwakua yeye ni Mtanzania,Watanzania hatuna tabia ya kusifia vya kwetu,au ndo Nabii hakubaliki kwao?.Itoshe kusema kua huyu ndo beki wa kushoto bora katika kipindi cha miaka 10 ya karibuni.Juhudi,Nidhamu na Kujituma ndiyo siri ya ubora wake.Kiukweli Zimbwe Jr hapewi heshima ambayo anastahili kupewa.Ufike wakati tuanze kusifu kipaji alichobarikiwa na Mungu.View attachment 2149156
Mr Bundi unaniangusha bwana 😁 hongera kwake Mohamed Hussein[emoji28][emoji28][emoji28]