Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aise uchokozi sasaHivi game ya leo imeshaje wana jamvi?
huna akili kisinda weweMchezaji anaanzishiwa thread 😁 kisa kagoli kamoja
Sawa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zimbwe analipwa 1.5m?,sidhani kama ni kweli ingawa anastahili hiyo 10m unayosemaMtoa post umeniwai.nilitaka kuandika tangia juzi ila tu mimi heading yangu ilikuwa isomeke hivi..! Zimbwe jr anastahili mshahara wa zaidi ya milion 10 na sio 1.5 na nusu anayolipwa hapo msimbazi.! Mpira kwake ni maisha na tayar anacheza katika kiwango cha juu sana huwez kumfanananisha na wazawa wanaocheza nafasi kama ya kwake asiogope kuikimbia sifa akipata fursa mpira una muda mfupi.anastahili maisha makubwa kwa kile anachotuonesha uwanjani yangu ni hayo tu.
Nasubiri Thread Ya Kibu D.
Kwani Kisinda Mchezaji Wa Simba?hata mimi nasuburi thread ya tusila kisinda
nikuulize wewe.Kwani Kisinda Mchezaji Wa Simba?
Mashabiki Wa Simba Mmefungua Threads Za Wachezaji Wenu, We Pia Umesema Unasubiri Thread Ya Kisinda, Sasa Kwani Kisinda Ni Mchezaji Wa Simba?nikuulize wewe.
mfungulie wewe basi si mlienda airport kumpokeaMashabiki Wa Simba Mmefungua Threads Za Wachezaji Wenu, We Pia Umesema Unasubiri Thread Ya Kisinda, Sasa Kwani Kisinda Ni Mchezaji Wa Simba?