Mohammed Hussein Zimbwe (Tshabalala) Special Thread

Balaa

IMG-20220313-WA0276.jpg
 
Mtoa post umeniwai.nilitaka kuandika tangia juzi ila tu mimi heading yangu ilikuwa isomeke hivi..! Zimbwe jr anastahili mshahara wa zaidi ya milion 10 na sio 1.5 na nusu anayolipwa hapo msimbazi.! Mpira kwake ni maisha na tayar anacheza katika kiwango cha juu sana huwez kumfanananisha na wazawa wanaocheza nafasi kama ya kwake asiogope kuikimbia sifa akipata fursa mpira una muda mfupi.anastahili maisha makubwa kwa kile anachotuonesha uwanjani yangu ni hayo tu.
 
Zimbwe analipwa 1.5m?,sidhani kama ni kweli ingawa anastahili hiyo 10m unayosema
 
Back
Top Bottom