Mohammed Hussein Zimbwe (Tshabalala) Special Thread

Mohammed Hussein Zimbwe (Tshabalala) Special Thread

Mr Bundi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
327
Reaction score
422
Haimbwi sana na mashabiki, haongelewi sana na vyombo vya habari,labda kwakua yeye ni Mtanzania,Watanzania hatuna tabia ya kusifia vya kwetu,au ndo Nabii hakubaliki kwao?

Itoshe kusema kua huyu ndo beki wa kushoto bora katika kipindi cha miaka 10 ya karibuni.Juhudi,Nidhamu na Kujituma ndiyo siri ya ubora wake.

Kiukweli Zimbwe Jr hapewi heshima ambayo anastahili kupewa. Ufike wakati tuanze kusifu kipaji alichobarikiwa na Mungu.

Screenshot_20220313-182034_Instagram.jpg

Screenshot_20220313-182034_Instagram.jpg
 
Haimbwi sana na mashabiki,haongelewi sana na vyombo vya habari,labda kwakua yeye ni Mtanzania,Watanzania hatuna tabia ya kusifia vya kwetu,au ndo Nabii hakubaliki kwao?.Itoshe kusema kua huyu ndo beki wa kushoto bora katika kipindi cha miaka 10 ya karibuni.Juhudi,Nidhamu na Kujituma ndiyo siri ya ubora wake.Kiukweli Zimbwe Jr hapewi heshima ambayo anastahili kupewa.Ufike wakati tuanze kusifu kipaji alichobarikiwa na Mungu.View attachment 2149156
Kaka ni noma sana huyu mjuba mbaka namwogopa
 
Kijana yupo vizur sana anatakiwa alipwe mshahara sawa na chama anafanya vizur
 
Jamaa anaujua sana tu, huyu ni beki ambae anaweza kucheza kama kiungo. Ni aina ya wachezaji wenye kujua kupandisha team.
 
Hapa naona special thread zitakuwa zaidi ya 1000 kama kila mchezaji akianzishiwa thread
 
Back
Top Bottom