Pre GE2025 Mohammed Issa: Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake

Pre GE2025 Mohammed Issa: Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbuge yule wa Zanzibar kama ana malalamiko ya kubaguliwa aende mamlaka husika lakini si kusimamia bungeni kupeleka hoja Binafsi. Ametumwa na wanachi kuwawakilisha na si kuchochea kuondoa muungano.
 
Kwa akili kama hizi ndio maana kumbe vitu vya tanganyika vinapewa wageni kwa sababu hamujitambui poleni sana watanganyika hata mukiamka hamna kitu
 
Back
Top Bottom