P J O Senior Member Joined May 3, 2024 Posts 189 Reaction score 264 May 16, 2024 #21 Mbuge yule wa Zanzibar kama ana malalamiko ya kubaguliwa aende mamlaka husika lakini si kusimamia bungeni kupeleka hoja Binafsi. Ametumwa na wanachi kuwawakilisha na si kuchochea kuondoa muungano.
Mbuge yule wa Zanzibar kama ana malalamiko ya kubaguliwa aende mamlaka husika lakini si kusimamia bungeni kupeleka hoja Binafsi. Ametumwa na wanachi kuwawakilisha na si kuchochea kuondoa muungano.
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,820 Reaction score 9,625 May 16, 2024 #22 goodluck5 said: Jamaa ana upeo mdogo hadi aibu kwa wapiga kura wake! Click to expand... Bila shaka hujawahi kukaa na hao watu wana uelewa mdogo na upeo mdogo mnoo mno, fatilia hata hotuba za mwasisi wao uone balaa.
goodluck5 said: Jamaa ana upeo mdogo hadi aibu kwa wapiga kura wake! Click to expand... Bila shaka hujawahi kukaa na hao watu wana uelewa mdogo na upeo mdogo mnoo mno, fatilia hata hotuba za mwasisi wao uone balaa.
B bin haroub JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 1,662 Reaction score 812 May 16, 2024 #23 Kwa akili kama hizi ndio maana kumbe vitu vya tanganyika vinapewa wageni kwa sababu hamujitambui poleni sana watanganyika hata mukiamka hamna kitu
Kwa akili kama hizi ndio maana kumbe vitu vya tanganyika vinapewa wageni kwa sababu hamujitambui poleni sana watanganyika hata mukiamka hamna kitu
B bin haroub JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 1,662 Reaction score 812 May 16, 2024 #24 eddy said: Atakuwa na changamoto ya afya ya akili Click to expand... Pole sana