Pre GE2025 Mohammed Kawaida: Naipa Serikali miezi minne iwe imefungia Mtandao wa X

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu ndio ubunifu wake, hawa ndio vichwa wa Taifa, tuna kazi sana
 
Yeye kama nani?
 
Serikali ndo ina mpango wa kuifungia Twitter, ila Huyu kawaida ni jini tyuuh anatumwaa.
Anaiamuru Serikali yeye km nanii? Mxxxxxxiiiiiieeeeew
 
Kwahiyo mtandao wa X (zamani Tweeter) ukifungwa, yeye huyo Mohamed kawaida atawaletea mtandao mwingine wa kutuumia?

Ama CCM imekuja na mtandao wake mbadala wa Wananchi kutuumia baada ya hiyo Tweeter??

Bora ukose mali upate akili 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…