Pre GE2025 Mohammed Kawaida: Naipa Serikali miezi minne iwe imefungia Mtandao wa X

Pre GE2025 Mohammed Kawaida: Naipa Serikali miezi minne iwe imefungia Mtandao wa X

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 3045327
''Serikali wameomba tuwape muda ni sawa, lakini kwa muda ambao nimekadiria ili serikali iweze kufanya maamuzi, hili suala kweli wanataka kulichambua walione likoje nawapa miezi minne (4) huu ukiwa mwezi wa pili nimebakiza miezi miwili nisipoona wamechukua hatua nitatoka tena kupiga zogo''

Mwenyekiti wa UVCCM na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
Mohammed Ali Kawaida

Pia soma=> Kuelekea 2025 - UVCCM waitaka Serikali kuifungia X (zamani Tittwer)
wa kawaida sana
 
Wow umerudi kwa hii, hongera odo. Yaani sijui hawa washamba washamba wanawatolea wapi. Kimekaa kishambashamba na mawazo yake ya kishamba tu. Katumwa ila ndiyo wajaze washamba aina hii?
Nimeshangaa sana kwa mawazo yake finyu, hiyo X ikulu mawasiliano kwenye ukurasa wao inarusha hotuba za rais live, hata ambao hawako karibu na tv inasaidia kufatilia live kupitia simu!!

Taarifa nyingi za kiserikali zinawekwa kule, sasa kinachowatisha kipi?? Spana?
 
Back
Top Bottom