Pre GE2025 Mohammed Kawaida: Naipa Serikali miezi minne iwe imefungia Mtandao wa X

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
wa kawaida sana
 
Wow umerudi kwa hii, hongera odo. Yaani sijui hawa washamba washamba wanawatolea wapi. Kimekaa kishambashamba na mawazo yake ya kishamba tu. Katumwa ila ndiyo wajaze washamba aina hii?
Nimeshangaa sana kwa mawazo yake finyu, hiyo X ikulu mawasiliano kwenye ukurasa wao inarusha hotuba za rais live, hata ambao hawako karibu na tv inasaidia kufatilia live kupitia simu!!

Taarifa nyingi za kiserikali zinawekwa kule, sasa kinachowatisha kipi?? Spana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…