Mohammed Matumla vs Wang Xing Hua ni hatari tupu leo Diamond Jubilee

Mohammed Matumla vs Wang Xing Hua ni hatari tupu leo Diamond Jubilee

Watu ni wengi hapa ukumbini na muda wowote mapambano ya utangulizi yataanza
 
Tuko pamoja nakufuatilia mpaka mwisho wa pambano endelea kutuhabarisha.
 
Mbona hakuna updates, au hata mapambo ya utangulizi hayajaanza?
 
Ududu amekosa kiingilio nini?
 
Last edited by a moderator:
Nimesikia Kaseba kashakaa, dah huyo jamaa wa Rorya mbona ataongea sana
 
Vp mbona Karama na Mashali hujawaweka?
 
kumbe China napo kuna mabondia mimi sikujua kusema ukweli
 
Kaseba VS Maugo....Maugo kashinda..tayari..
 
Ududu bhana! Huwezi kuendesha gari huku unaongea! Aarrrggghhh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom