Mohammed Matumla vs Wang Xing Hua ni hatari tupu leo Diamond Jubilee

Mohammed Matumla vs Wang Xing Hua ni hatari tupu leo Diamond Jubilee

Huyu Kaseba aache tu ngumi huku hakuwezi arudi kurusha mateke huko, haiwezekani kila siku anapigwa yeye tu, Cheka, Mashali na Maugo wote wamemdunda

Teh Teh ngumi nzito
 
Ashraf nasikia kakalisha mtu round ya pili
 
nasikia pambano la matumla na mchina limeanza
 
Sa hivi mtu wa ndondi ukitaka kurudi kwenye form na ukumbukwe we kacheze na Kaseba jamaa kashindwa boxing ye kila siku kupigwa tu
 
Kutoka Ukumbini
 

Attachments

  • 1427492484924.jpg
    1427492484924.jpg
    60.1 KB · Views: 342
  • 1427492507549.jpg
    1427492507549.jpg
    68.7 KB · Views: 310
  • 1427492521699.jpg
    1427492521699.jpg
    65.3 KB · Views: 307
  • 1427492534037.jpg
    1427492534037.jpg
    58.4 KB · Views: 306
Kaseba akarudie kurusha mateke tu... Hata Kick Boxing yenyewe hakuwa mzuri kiivo alikuwa mtu wa kuotea kupiga sehemu muhimu na kwakuwa yeye ni mkomavu akawa anashindaga tu
 
Back
Top Bottom