Francis Cheka......
Hivi aliyefungwa ni mbwana matumla au?
Mimi nasubiri yule aliyesema ataua
Vp mbona Karama na Mashali hujawaweka?
Inasemekana Mashali hajatokea.
duh mbona anatia aibu
Kaseba VS Maugo....Maugo kashinda..tayari..
Inasemekana Mashali hajatokea.