chezea kupigwa nakozi za pua...
Kakimbia Teh Teh alihofia kufa kwenye uringoni....
Matokeo haya yalikuwa wazi kabisa...
Mkuu inawezekana alivuta bangi nyingi halafu hakula mchana.
Teh Teh kwani ana vuta?
Pale bangi ndio nyumbani.
Ududu amekosa kiingilio nini?
Kaseba VS Maugo....Maugo kashinda..tayari..
hahahaha kweli Maugo alidhamiria kuuwa... alisema hakatizi round ya 5 vipi kweli hajafika au??
Hivi ni kweli mashali ""KACHIMBA"(kakimbia)? Kama ni hivyo ina maana Kalama alijua kama atakimbia?maana kwenye advertise ya mpambano alisema kama mashali atakimbia atamtafuta na RB akiwa askari shirikishi wake ili aje apande ulingoni!
jamaa sidhani kama alifika na alikuwa ana uwawa kwenye ulingo maana alipigwa ngumi akashindwa kunyanyuka..
Karama nyalawila kashinda!
Asha ngendere kapigwa..
Utabiri wangu Matumla atashinda kwa knockout