Huyu Kaseba aache tu ngumi huku hakuwezi arudi kurusha mateke huko, haiwezekani kila siku anapigwa yeye tu, Cheka, Mashali na Maugo wote wamemdunda
Kwa nilivyo Muangalia Matumla anaweza anaweza kufia kwenye ulingo na mchina aliahidi kumua kabisa..
nasikia pambano la matumla na mchina limeanza
Sa hivi mtu wa ndondi ukitaka kurudi kwenye form na ukumbukwe we kacheze na Kaseba jamaa kashindwa boxing ye kila siku kupigwa tu
Updates huko
Ndanda fc 1- simba 0 tehhh
Yaah limeanza na nasikia matumla ana hema sana
Wamaenda round ya mwisho