yaliyomoyamo
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 537
- 325
nani kapigwa?tupeni habari sasa.
Kwa style ya Promota JAY MSANGI Matumla kwenda Las Vegas ni sawa Lowassa kuamua kutogombea Urais.
unamaanisha nini,au ndo wabongo mmeanza uchawi kama kawaida yenu?
Vipi amekwenda? Au walimaanisha Las Vegas Casino jirani na Isumba Lounge?