yaliyomoyamo
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 537
- 325
Daah! matumla kajitahidi sana, mwanzo mzuri kijana, naona anafuata nyayo za Rashid matumla snake boy na Mbwana matumla!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani kapigwa?tupeni habari sasa.
Kwa style ya Promota JAY MSANGI Matumla kwenda Las Vegas ni sawa Lowassa kuamua kutogombea Urais.
unamaanisha nini,au ndo wabongo mmeanza uchawi kama kawaida yenu?
Vipi amekwenda? Au walimaanisha Las Vegas Casino jirani na Isumba Lounge?