TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

mimi nilimaliza 2008.
Sasa unajua nilikuwa nikiona mada zako za kuuliza mambo mbalimbali na ukawa unaanza kwa sentensi "Mimi ni mdogo wenu infantry solder nahitaji kuelekezwa" nikawa nafikiri wewe ni fresh graduate
Mkuu, humu JF kuna watu walimaliza form six mwaka 1981 na tupo nao tunabishana daily ndio maana nilkuwa ninawapa shikamoo zao Mimi mdogo/mtoto wao infantry solder lakini hakuna hata mmoja alikuwa anaitikia. Hakika uzee mwisho Twitter.
 
Una roho ya kutu.tena wewe ni maskini wa roho na Mali.isitoshe uko ccm wewe sio bure
mkuu uko sahihi. Huyo mwanamke anaroho mbaya sana . wewe jaribu kumfuatilia humu ni mbaya zaidi ya Delila. Jumlisha yuko kwa maccm ndo balaa zaid shetani akasome.
 
wale waliosoma Tabora Especially Milambo na Tabora Boys hawa miamba wapo kweli
1. Ken ( Mzee wamatango)
2. Ben
3. chief ( Mzee wa biology na kemia)
na wataalam wengine kina Mudy ( ex boyzia)
 
Muddy physics legend from Massachusetts Institute of technology MIT.RIP
Mohamed Ngaola.

His Educational background includes:-

-Primay education manzese dar es salaam.

-O level education azania secondary 1991-1994.

-Advanced kibaha seconday 1995-1997.

-Civil engenering university of dar es salaam 1998-2000.

-Programing USA International university 2000-2004.

He worked in different companies in USA.

-Quality assurance officer USA compaq presario 2001.

-Arima electronics USA 2002.

He was also employed as full time Teacher in diffrent schools at different time as follows.

-Msolwa secondary.

-Mkandawile secondary.

-Ilala islamic 2018.

-Golden secondary school.

-Mchikichini centre 1997 to date
 
Bila shaka mchango wake (niliousoma humu) ulienda sambamba na kipato chake.
 
[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
FB_IMG_1605270203641.jpg
 
Back
Top Bottom