mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Mimi alinifundisha form 5 algebra
De Mtatuzi amenifundisha sana pindi la Hesabu nikiwa form two na three mwaka 2001 - 2002 baadae akaniita nikawa ninafundisha naye.