TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Nilisoma kwake japo sio sana Mungu ailaze roho yake mahali pema
 
Innallillah wainnallilah raajuni
 
Enzi hizo hata usomeje physics /Bm kama hujasoma kwa mudi we mnyonge tu.

Fundi mwenye ku solve kila swali bila kufkilia.

Mwalimu alonifanya familia inishangae baada yakuskia ni B ya hesabu wakati waliamini ni kiraza.

Allahumma akhifrilahu warahamhu wathaabit bilkaul thabiti.

Umependa mbegu nzuri kaka mungu atakulipa
 
Inaonesha shule nyingi za day Dsm zilikua hazina Walimu wazuri wa Masomo ya Sayansi
Ukitofautisha na Shule za Boarding kama Minaki, Pugu, Kibaha, Mzumbe, Ilboru, Moshi Tech
Huku kulikua na Walimu wa kutosha mpaka wanagawana Topics. Au Wanafunzi wanachagua wasome Topic ipi kwa Mwl yupi.
 
Wanafunzi wa Kibaha,Mzumbe,Iboru tulikuwa nao kibao hapo kwa Muddy na kumbuka kuna wengine tulikuwa tunashinda nao kwa mzee Kibiriti Mwisho wa Lami tunapiga practical za Chemistry.

Shule za serikali matatizo yake yanafanana 100%.
 
Minaki kulikuwa na mwalimu wa physics?? utakuwa umesoma private brooh,huyu moddy ndo alikuw Mkombozi wetu
 
RIP mwamba kupitia wew cjui ile B ya physics ningeipataje,na IYUNGA TECH ningefikaje pumzika bro
Lumumba,Amri Abeid,Shaban Robert,Mugabe,Mkwawa,luthuli

State House..

Gymnasium
.
Pourtry..

Garden

CattleBoma

Zamani sana
 
Wanafunzi wa Kibaha,Mzumbe,Iboru tulikuwa nao kibao hapo kwa Muddy na kumbuka kuna wengine tulikuwa tunashinda nao kwa mzee Kibiriti Mwisho wa Lami tunapiga practical za Chemistry.

Shule za serikali matatizo yake yanafanana 100%.
Hahaa mzee Kibiriti wa Pugu secondary,Nilikua natoka Benjamin mkapa High School mpaka Pugu 2009 kwa huyo Mzee
 
Hahaa mzee Kibiriti wa Pugu secondary,Nilikua natoka Benjamin mkapa High School mpaka Pugu 2009 kwa huyo Mzee
Pugu secondary kupitia kiberiti tumewasaidia sana wanafunzi kufaulu practicals za chemistry.
Mtuheshimu humu jf
 
Wanafunzi wa Kibaha,Mzumbe,Iboru tulikuwa nao kibao hapo kwa Muddy na kumbuka kuna wengine tulikuwa tunashinda nao kwa mzee Kibiriti Mwisho wa Lami tunapiga practical za Chemistry.

Shule za serikali matatizo yake yanafanana 100%.
dah kitambo sana, mzee aliipatia sana thermochemistry, nakumbuka yale ma chemical alikuwa anayaweka kwenye chupa za plastic za maji ya Uhai , dahh[emoji3]
 
Ilikuwaje jamaa akrd bongo aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…