TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

RIP sikujua kwamba mpaka miaka hii alikuwa anafundisha mm nilisoma kwake miaka ya 1998 mpaka 2000 pamoja na kwa Babangida.Sijui Alisoma wapi yule ile physics
 
Nimesikitika sana, alinitangulia miaka miwili Udsm lakini sifa zake zilijaa na kuenea chuo kizima. Wajinha na wapimbavu wanabaki, wenye uwezo wanaondoka dah! Let his soul rest in peace
 
Nimesikitika sana, alinitangulia miaka miwili Udsm lakini sifa zake zilijaa na kuenea chuo kizima. Wajinha na wapimbavu wanabaki, wenye uwezo wanaondoka dah! Let his soul rest in peace
Kumbe na wewe ulisoma zamani kidogo[emoji85]
 
Ilikuwaje jamaa akrd bongo aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
R. I. P [emoji120] huyu mwamba aliifanya physics to look so easy,Thank à lot nilijua kwa mara ya kwanza mchikichini 2000 form 1 kabla hajaenda USA, then nikasoma advance kwake baadhi ya topic bure kabisa
Asante sana umetutoa watoto wa kimasikini kimasomaso, we r proud of u.
Ur our Hero.
 
Urithii jaman mtupee mrejeshooo
Nimekapendakagarii gaflaa siomengineyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…