RIP sikujua kwamba mpaka miaka hii alikuwa anafundisha mm nilisoma kwake miaka ya 1998 mpaka 2000 pamoja na kwa Babangida.Sijui Alisoma wapi yule ile physicsYn Muddy ni hatari sana, naweza sema nchi hii imepoteza expert muhimu sana, vijana wetu wa olevel na Alevel bado walikuwa wanamhitaji mno ila ndo kazi ya Mola.
Muddy alikuwa anafundisha Physics inaonekana kama kiswahili kwa urahisi wake ni hatari sana Muddy kwa kweli amefaulisha sn na ametengeneza wataalamu wengi mno, naimani Mwenyezi Mungu atamlipa kadri ya wema wake hapa duniani, makosa madogo madogo yapo lkn ndivyo binadamu tulivyo hatukosi makosa, namuombea kwa mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi commissioner, RIP.