TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Duuuhh, Mungu ampe makazi salama anayostahili..

Mliosoma physics kwake mnamjua vizuri huyu Baharia, nilisoma topic kadhaa za Mechanics kwake(alitoa offer) na zingine niliibia kutokana na Ukata wa Pesa.

Upande wa Notes(Vitini) zake hazikunishawishi sana, badala yake nikawa muumini wa Notes za Mgote..
 
R.i.P Commissioner
Since day one Mchikichini up to Msimbazi Center Ilala Boma

Yah Man, Bwana mdogo anasema... #Problem nu1...

Daima sana, Wadau na member wote tutakukumbuka #TeamCalculating Device, #KingKong #DJ manywele #Dr. #Bench#1, #2 #3 Backbenchers, #Team Mlangoni nk
 
Commissioner [emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79]

Innaa Lillah Wainnaa Ilayh Raajiun.
 
Back
Top Bottom