Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka gani?R.I.P Commissioner.
Nakumbuka nilisomaga Simple harmonic Motion kwake.Enzi zile anafundishia Ilala Boma.
Tutaendelea kukumbuka daima.
Ile battle yako na Mgote naona ndo ishaisha.daaaaah
2014 mkuu.Mwaka gani?
Watu kibao wamepiga shule pale mtaa wa maji kutwama na kula mihogo na kachumbari.Simjui ila na imani kuna wana walisoma kwake ile 2005 na walinipigia pindi
Tuliofatia tulikuwa na Busanji Physics,Mkandawile Chemistry na Mama Shija Biology.Poleni wafiwa. Sisi wakongwe tulikuwa na marehemu Mzee Kazibure.
Tuliofatia tulikuwa na Busanji Physics,Mkandawile Chemistry na Mama Shija Biology.
Mkuu huenda tulikuwa class moja, mm pia 2014/16 nilikuwepo hapo2014 mkuu.
Kati ya watu wenye mchango kwenye sekta ya elimu haswa kwa watoto wa familia za chini.
RIP Muddy🙏
Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba