chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Mama Shija si alikuwa Tambaza?Tuliofatia tulikuwa na Busanji Physics,Mkandawile Chemistry na Mama Shija Biology.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Shija si alikuwa Tambaza?Tuliofatia tulikuwa na Busanji Physics,Mkandawile Chemistry na Mama Shija Biology.
Aamyn aamynYn Muddy ni hatari sana, naweza sema nchi hii imepoteza expert muhimu sana, vijana wetu wa olevel na Alevel bado walikuwa wanamhitaji mno ila ndo kazi ya Mola..
Nilikuwa napita pale naenda kwa white wa gog
Nipo hospital ya taifa Muhimbili.Wewe upo wapi ?
Wanasiasa huwa wanaangalia mwenye wafuasi(followers) wengi bila kujali wanamfuata kwa lipi.Mtaji wa mwanasiasa ni watu.So ukimpa achague Gigy na Muddy anachagua Giggy.Mpaka bungeni wataalikwa, lakini watu wenye mchango katika ukombozi halisi wa watanzania nani atawajali??
Shame really.
Hao ni WAPUUZI waliochangamka.
Humu unaweza kukuta tunabishana bishana na wake zetu humu [emoji23][emoji23][emoji23]Nipo hospital ya taifa Muhimbili. Wewe upo wapi?
Kabisa. Unaweza hata mtongonza mzazi humu. Ndo maana hapa hoja tu then unasepa.Humu unaweza kukuta tunabishana bishana na wake zetu humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli aiseee! Naanza kuwa makini [emoji23]Kabisa. Unaweza hata mtongonza mzazi humu. Ndo maana hapa hoja tu then unasepa.
Alikuwa mwalimu wa shule moja hapa Dar sijui ni ipi.Mimi nilisoma tuition alikuwa anafundishia Dar tech.Mama Shija si alikuwa Tambaza?
Uwe makini unaweza tongonza hata mkeo/girl friend wako. Mnabadilishana number siku ya kukutana inakuwa msala.Kweli aiseee! Naanza kuwa makini [emoji23]
Karibu.Ntakuja mgonjwa, doc!
Niliwaza hivyo hivyo [emoji23][emoji23]nikaona nisiandike. Iwe hivyo halafu nikute ni wife daaa! Lakini lazima achezee mitama [emoji23]Uwe makini unaweza tongonza hata mkeo/girl friend wako. Mnabadilishana number siku ya kukutana inakuwa msala.