Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Tafadhali tuwekee link.Katika video anaelezea kwamba jambo la kwanza lililotokea baada ya Mapinduzi printing press zilizokuwa zinatengeneza vitabu vya Kiislamu vilivunjwa.
Ipo katika YouTube
Hausemwi ila huu ndiyo ukweli mchungu nyumba ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mohammed Said akishazungumza nadhani tunajua tayari nani aliyemuondoa Sultan Jamshid.
Huyo ni mtafiti wa historia za kweli na ndio Ukweli wenyewe.Katika video anaelezea kwamba jambo la kwanza lililotokea baada ya Mapinduzi printing press zilizokuwa zinatengeneza vitabu vya Kiislamu vilivunjwa.
Ipo katika YouTube
Hausemwi ila huu ndiyo ukweli mchungu nyumba ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mohammed Said akishazungumza nadhani tunajua tayari nani aliyemuondoa Sultan Jamshid.
View: https://youtu.be/FLGgUz7i8mA?si=ZgCUyXE_WipFcLAO
Hiyo 1861 Tanganyika ilikuwa chini ya himaya ya nani!Abraham Lincoln aliweka Consul Unguja
When it came time to appoint a consular to Zanzibar, Lincoln turned to a loyal Union man who had had some sympathy for slavery – William S. Speer.
Document signed, Washington, November 15, 1861, naming William S. Speer consul, and requested “His Majesty, the Sultan of Zanzibar, His governors and officers to permit the said William S. Speer fully and peaceably enjoy and exercise the said office…” The document is countersigned by William H. Seward as Secretary of State, and the Great Seal is still present. We obtained the documents from the Speer descendants and it has never before been offered for sale. Professionally conserved.
Kama ni kweli Nyerere alifanya jambo la maana sana.Mwenyeheri Julius Kambarage Nyerere
Baba wa Taifa la Tanzania
Muungano uvunjike au usivunjike?Kama ni kweli Nyerere alifanya jambo la maana sana.
Uboreshwe uwe wa Serikali 3.Muungano uvunjike au usivunjike?
nyerere alishakataa hiliUboreshwe uwe wa Serikali 3.
Nyerere alikuwa ni Binadamu tu kama wewe na mimi, na anakosea tu kama mimi na wewe.nyerere alishakataa hili
Mwenye heri naye hukosea?Nyerere alikuwa ni Binadamu tu kama wewe na mimi, na anakosea tu kama mimi na wewe.
Tuuboreshe huu Muungano.
Hakuna aliye MWEMA isipokuwa Mungu wa Mbinguni pekee 😂Mwenye heri naye hukosea?
johnthebaptist
Hakika,Hakuna aliye MWEMA isipokuwa Mungu wa Mbinguni pekee 😂
Binadamu hukosea.Mwenye heri naye hukosea?
johnthebaptist