Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika video anaelezea kwamba jambo la kwanza lililotokea baada ya Mapinduzi printing press zilizokuwa zinatengeneza vitabu vya Kiislamu vilivunjwa.
Ipo katika YouTube
Hausemwi ila huu ndiyo ukweli mchungu nyumba ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mohammed Said akishazungumza nadhani tunajua tayari nani aliyemuondoa Sultan Jamshid.
View: https://youtu.be/FLGgUz7i8mA?si=ZgCUyXE_WipFcLAO
Nadhani Nyerere aliagizwa na Malkia kuipora Unguja kutoka kwa Waarabu.
Ilikuwaje walipobishana kuhusu matokeo ya Uchaguzi uliopita na Maalim Seif, Malkia ndiye aliyewaamua?
Kama ni kweli Nyerere alifanya jambo la maana sana.
Ndiyo maana itakuwa ni uhaini, kwa kiongozi yeyote au chama chochote cha siasa kutaka kuwatenganisha hawa. Hii ni Hongkong au Taiwani yya waChina, kama ilivyo Zanzibar ya waTanzania.Kama ni kweli Nyerere alifanya jambo la maana sana.
Angekuwa "MWEMA" kama unavyo dai wewe asinge ruhusu uingie jehenamu ambalo tayari linakusubiri wewe! Au unasemaje hapo?Hakuna aliye MWEMA isipokuwa Mungu wa Mbinguni pekee 😂
Tunasema uboreshwe tuwe na Serikali tatu.sasa mbona munalialia kila siku Muungano Muungno?
Ni historia ya kuambiwa, inaweza ikawa kweli au si kweli, kikwete alisema ukiambiwa changanya na za kwako.
Pili, zanzibar national party sidhani kama kilikuwa ni chama cha wanzibar wote yaani waarabu wa Kitanzania na minority weusi watanzania, kwakuwa weusi walikuwa chini hawawezi kuwa na haki sawa pindi uchaguzi ukifanyika.
Huyu mzee ana madini sana. Mwenyezi Mungu azidi kumtunzaHuyo ni mtafiti wa historia za kweli na ndio Ukweli wenyewe.
Mambo yanazidi kuwekwa wazi hakuna tena kudanganyana.
Wewe Punga wa kigalatia chenji ya mavi inakuwasha sasa unatafuta wa kukukunaHasira zanini kitukuu cha mzinzi mwamedi? We kuchezea mavi kwa kuyashika ukichamba kwenu si ibada?
hizi kamba unagoogle tu kila kitu kipo wazi siku hizi, hao viongozi ukiwagoogle wote picha zao zipo online, znp na ZPPP kulikua na weusi kibao, in short mpaka leo pemba CCM haipendwi na haka huko Unguja ni sehemu tu za mamluki ambao wamehamia znz chini ya miaka 100 ndio wana support, ukiangalia tu chaguzi za karibuni unaelewa miaka ya 60 nini kiliendelea. nani leo wakishinda yanatoka majeshi hadi burundi kuwaua?Ni historia ya kuambiwa, inaweza ikawa kweli au si kweli, kikwete alisema ukiambiwa changanya na za kwako.
Pili, zanzibar national party sidhani kama kilikuwa ni chama cha wanzibar wote yaani waarabu wa Kitanzania na minority weusi watanzania, kwakuwa weusi walikuwa chini hawawezi kuwa na haki sawa pindi uchaguzi ukifanyika.
Kiini cha historia hii ni kutetea waislam au kujua jinsi mapinduzi yalivyo fanyika? Kama kuna mkono wa Tanu ni kwa nini usiulize viongozi wa Tanu ambao sio waislam pia kupata maoni yao? Ukiuliza viongozi wa kiislam tu utapata maoni kwa mtazamo huo, ingependeza angeenda mbali zaidi kutafuta maoni pia katika upande mwingine ili tuwe na maoni ya kitaifa, kwangu binafsi naona ni maoni ya kiislam.
Tatu, huyu mwandishi anampenda Nyerere? , mwandishi lazima uwe positive, sio kuegemea upande mmoja, siko hapa kulinda ukristo au Nyerere, lakini kwanini uhoji viongozi wa dini moja tu? Yaani Tanu yote 100% walikuwa ni Waislam peke yao wanaojua mapinduzi ya zanzibar?
Wana historia tuelezeeni hapo, Zanzibar ilikua ni wapi mpaka wapi?Abraham Lincoln aliweka Consul Unguja
When it came time to appoint a consular to Zanzibar, Lincoln turned to a loyal Union man who had had some sympathy for slavery – William S. Speer.
Document signed, Washington, November 15, 1861, naming William S. Speer consul, and requested “His Majesty, the Sultan of Zanzibar, His governors and officers to permit the said William S. Speer fully and peaceably enjoy and exercise the said office…” The document is countersigned by William H. Seward as Secretary of State, and the Great Seal is still present. We obtained the documents from the Speer descendants and it has never before been offered for sale. Professionally conserved.
Kura tatu kule tabora na mzee rehani waikelaWekeni hiyo link ya video tuione.
Katika kutafuta youtube nimekutana na video ya Alama Mohamed Said ya kura tatu naifungulia uzi.