gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Aug 26, 2024 #41 gammaparticles said: Haya sio maandiko ya mleta mada mara baada ya kuposti Naona ujumbe wa mada ya kwanza umechakachuliwa Click to expand... Na mleta mada ni mtoto wa mtuhumiwa
gammaparticles said: Haya sio maandiko ya mleta mada mara baada ya kuposti Naona ujumbe wa mada ya kwanza umechakachuliwa Click to expand... Na mleta mada ni mtoto wa mtuhumiwa
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Aug 26, 2024 #42 gammaparticles said: Haya sio maandiko ya mleta mada mara baada ya kuposti Naona ujumbe wa mada ya kwanza umechakachuliwa Click to expand... Huyo ni mleta mada. Tumemzowea wahenga wa JF, mchukulie kama alivyo. . Ingekuwa tofauti ya hivyo angekuwa siyo yeye.
gammaparticles said: Haya sio maandiko ya mleta mada mara baada ya kuposti Naona ujumbe wa mada ya kwanza umechakachuliwa Click to expand... Huyo ni mleta mada. Tumemzowea wahenga wa JF, mchukulie kama alivyo. . Ingekuwa tofauti ya hivyo angekuwa siyo yeye.
Fursa Pesa JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 4,631 Reaction score 3,527 Aug 26, 2024 #43 imhotep said: Uboreshwe uwe wa Serikali 3. Click to expand... Serikali zipo tatu toka zamani. Nadhani tumesahu TAMISEMI..kuwa sio Serikali kamili,Tanzania bara.
imhotep said: Uboreshwe uwe wa Serikali 3. Click to expand... Serikali zipo tatu toka zamani. Nadhani tumesahu TAMISEMI..kuwa sio Serikali kamili,Tanzania bara.