Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nelson...Sipo karibu na wewe hii ni mijadala ya kawaida tunachangia wote au hupendi tuchangie makala zako mzee wetu !!!!Au unaogopa hoja zetu sisi vijana wa ASP na SMZ mzee wangu??????
Usikwazike mzee wangu ukweli sio upande wa hizbu hata sisi ASP tunajua ukweli!!!!Sisi ASP hatuunganishwi na dini bali tunaungwanishwa na ubantu!!!Nyinyi hizbu endeleeni kuunganishwa na udini!!!!Namalizia kwa kusema kidumu chama cha mapinduzi na yadumu mapinduzi matukufu ya zanzbar!!!
Hujafika makamo bado una safari ndefu sana:
WAZANZIBARI...
Najaribu kuweka picha za Wazanzibari niliopata kuwafamu katika maisha yangu wengine kwa mbali na wengine kwa karibu sana.
Kwa ujumla naweza kusema kuwa namshukuru Allah kwa kunikutanisha na watu hawa.
Kutoka kwao nimejifunza mengi sana katika historia ya Zanzibar:
Ahmed Rajab na Mwandishi Ofisi za Africa Analysis London, 1991
Mohamed Mlamali Adam Mhariri wa Africa Events London
Aboud Jumbe na Mwandishi 1992
Kushoto Sheikh Ali Muhsin na Mwandishi, Muscat 1999
Hassan Nassoro Moyo na Mwandishi, Zanzibar 2012
Salim Himid na Mwandishi, Paris 2011
Nelson...Aboud Jumbe na Mwandishi 1992
Kushoto Sheikh Ali Muhsin na Mwandishi, Muscat 1999
Hassan Nassoro Moyo na Mwandishi, Zanzibar 2012
Salim Himid na Mwandishi, Paris 2011
Nataka tufahamiane.
Hawa wote nimeandika habari zao hapa JF fanya ''search'' utajifunza mengi.
Hawa ni baadhi tu:
Tanzia: Mohamed Mlamali Adam afariki Dunia
TAAZIA: MOHAMED MLAMALI ADAM MIMI NA MWALIMU WANGU Mohammed Said Siku moja nimepita ofisini kwa Bwana Ally Sykes na katika mazungumzo yetu akaniambia kuwa alikuwa siku ya pili anasafiri anakwenda London. Palepale ikanijia fikra nimpe Bwana Ally makala yangu ambayo nilikuwa nimeandika kuhusu...
Down Memory Lane sehemu ya pili inaendelea ikimwangaza Salim Himidi
DOWN MEMORY LANE (SEHEMU YA PILI) INAENDELEA... IKIMWANGAZA SALIM HIMIDI Kushoto ni Salim Himidi, Ahmed Rajab na Waziri Simba Trafalgar Square London 1960s katikati Waziri wa Nchi za Nje wa Comoro Salim Himidi akihutubia UNO Rafiki zangu wawili wote ni waandishi wa sifa na wote wakiwa Ulaya...
TAAZIA: ABOUD JUMBE MWINYI 1920 - 2016
TAAZIA ABOUD JUMBE 1920 - 2016 Mzee Aboud Jumbe na Mwandishi George Githii alikuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Nation. Githii ...