Mohammed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

Mohammed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

Sipo karibu na wewe hii ni mijadala ya kawaida tunachangia wote au hupendi tuchangie makala zako mzee wetu !!!!Au unaogopa hoja zetu sisi vijana wa ASP na SMZ mzee wangu??????

Usikwazike mzee wangu ukweli sio upande wa hizbu hata sisi ASP tunajua ukweli!!!!Sisi ASP hatuunganishwi na dini bali tunaungwanishwa na ubantu!!!Nyinyi hizbu endeleeni kuunganishwa na udini!!!!Namalizia kwa kusema kidumu chama cha mapinduzi na yadumu mapinduzi matukufu ya zanzbar!!!
Nelson...
Hujafika makamo bado una safari ndefu sana:

WAZANZIBARI...
Najaribu kuweka picha za Wazanzibari niliopata kuwafamu katika maisha yangu wengine kwa mbali na wengine kwa karibu sana.

Kwa ujumla naweza kusema kuwa namshukuru Allah kwa kunikutanisha na watu hawa.

Kutoka kwao nimejifunza mengi sana katika historia ya Zanzibar:

325359887_1559023841282466_8236630204159252575_n.jpg

Ahmed Rajab na Mwandishi Ofisi za Africa Analysis London, 1991​
325274793_646909950457044_8512641820648796487_n.jpg

Mohamed Mlamali Adam Mhariri wa Africa Events London
325345592_552017376812862_8610962515758016735_n.jpg

Aboud Jumbe na Mwandishi 1992
325288943_2046710018855799_7720368641194005393_n.jpg

Kushoto Sheikh Ali Muhsin na Mwandishi, Muscat 1999
325250503_699321948392342_4605567683914174142_n.jpg

Hassan Nassoro Moyo na Mwandishi, Zanzibar 2012
325299433_723113892856097_5188676803776481183_n.jpg

Salim Himid na Mwandishi, Paris 2011
Nelson...
Nataka tufahamiane.

Hawa wote nimeandika habari zao hapa JF fanya ''search'' utajifunza mengi.

Hawa ni baadhi tu:

Kwahiyo babu zetu walikua hawanyanyasiki na waarabu na vizazi vyao vya machotara wsliowafanya wabantu kua raia wa tabaka la chini???Ni tamaa za kisiasa tu sababu sultan na hizbu walikua wema kwa wabantu kaka?????Tujuze kidogo mema ya sultani kaka???
Hivi sasa, wewe ni raia wa tabaka lipi?
 
Wala siteseki, ni wajibu na uzalendo, muungano wetu adhimu ni tunu za taifa, tutaulinda kwa gharama yoyote dhidi ya mahasidi wa muungano!.
P
Upo sahii kaka ni wajibu wetu kama vijana na viongozi tujao wa taifa hili kulinda na kuenzi mapinduzi matukufu ya zanzbar na kuulinda muungano wetu dhidi ya mahasidi wa muungano
 
Tabaka la kwanza Faiza Nafaidika na matunda ya mapinduzi mdogo wangu
Hongera sana. Kumbe kuna matabaka miaka zaidi ya 50 baada ya mapinduzi, nilikua sifahamu. Ahsante kwa kutujuza

AlhamduliLlah vizazi vya wenye asili za KiOman ndivyo vinavyotawala sasa Zanzibar na Tanganyika. Ni vyema kuwa hawajakubagua.

Watawala ni wa daraja lipi?
 
Kuna kitu kwenye siasa kinaitwa mubashir fayuz kwa kiarabu cha wakurdi.Ukielewa hicho utaelewa ulichoandika kunijibu mdogo wangu.
 
Upo sahii lakini tatizo la baadhi ya watu hasa waarabu na machotara wenye nasaba za kiarabu na wafuasi wa hizbu na maswaiba wao wa kibantu wanapondea upande mmoja tu SMZ hasa kwenye vitabu vyao!!!Mimi siamini upande wowote kishabiki ila katika hili dhulma ya walowezi wa kiarabu na wakoloni dhidi ya wabantu wa zanzbar ipo wazi toka karne na karne
Licha ya visiwani, hivi Wabantu walifika lini pwani ya bahari ya hindi?

Ukishapata jibu ya hilo pia ujibu, walikuta kuna wenyeji? Wepi?
 
Licha ya visiwani, hivi Wabantu walifika lini pwani ya bahari ya hindi?

Ukishapata jibu ya hilo pia ujibu, walikuta kuna wenyeji? Wepi?
Mdogo wangu nina wasiwasi na uelewa wako wa mambo na ndio maana kwenye mada hii ya mzee wangu na jirani yangu Said mohamed waga najadiliana nae zaidi kuliko mtu mwingine yeyote.Lakini sikupingi hoja zako mdogo wangu,upo sahii kabisa kwa umri wako na uwelewa wako wa historia ya wabantu.
 
Wakati ule nikiwa mtoto wa miaka 12 haikunipitikia kama itafika siku nitakuwa na Mzee Aboud Jumbe nyumbani kwake mimi na wenzangu tunaiangalia picha hii aliyotutolea Mzee Jumbe picha ambayo alitaka iwe katika kitabu ‘’The Partnership,’’ alichokuwa ameandika kuhusu Muungano na matatizo yake.

Mimi na wenzangu tulikuwa wahariri na wachapaji wa kitabu hiki.
Huu ulikuwa mwaka wa 1994.
Al Anisa Maalim Mohamed Said , wewe ni mmoja wa watu muhimu sana this forum iliyobahatika kuwa nao, natamani kila kisa cha mtu yeyote ulichonacho, kianzishie thread stand alone inayojitegemea chini ya Sub Heading ya "Simulizi za Mohamed Said"
Ili kuyahifadhi masimulizi hayo ambayo yatafuatiwa na TV series zenye jina hilo hilo kwenye TV zetu, lengo ni kuuvuna na kuuhifadhi utajiri mkubwa wa historia ulio nao ndani ya kichwa chako na kuuhifadhi kwa ajili ya vizazi vijavyo. Kwa vile wewe umejaaliwa uwezo wa kuandika, then serialize hizo makala zako.

Kaka mimi kama mjasiriamali naona hii kama fursa kupitia kwa jirani yangu na rafiki yangu na kakangu mzee saidi mohamed.Pamoja na tofauti zetu za kiitikadi,kisiasa,kielimu,kiimani na kimtazamo nitamtafuta personal nimshauri kuhusu hili.Upo sahii kaka nitajitahidi kumfikishia ujumbe personal.
 
Huyu Mzee Mohamed Said, ni hazina ambayo inatakiwa ivunwe ihifadhiwe!.
P
 
Back
Top Bottom