Mohammed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

Chanzo cha ugomvi huo kilikuwa ni nini hasa kwa mujibu wa maelezo ya Mzee Jumbe?
 
Jibu lako linashindwa kunipa picha ya nini hasa kilitokea. Ila nikijaribu kujiweka katika nafasi yako naona pengine una haki ya kujibu hivyo.
James...
Unasema kweli kuwa hujui kilichotokea baada ya mapinduzi?

Sasa unajadili somo usilolijua?
 
James...
Unasema kweli kuwa hujui kilichotokea baada ya mapinduzi?

Sasa unajadili somo usilolijuq?
Najua kilimchotokea Bwana Hanga na mengineyo. Na huwa napata wasiwasi kuwa tuhuma dhidi yake zilikuwa za kweli au la. Kwa kuwa wewe umekuja na ya ndani zaidi kuwa unajua nini hasa kilikuwa chanzo cha ugomvi wake na Karume nikajua basi itakuwa ni nafasi yangu kupata mwnga zaidi. Nataka uturudishe nyuma tupate picha ya nini hasa kilitokea wakati Karume na Hanga wakijibizana. Yaani wewe uwe Jumbe na mimi niwe wewe. Sidhani kama Mzee Jumbe alikuelezea juu juu hivi eti "kuna watu walikuwa wanawaonea wananchi".
 
James...
Mzee Jumbe alinieleza kisa kizima.
Lakini si kila kitu husemwa.
 
Hebu niambie huko bara kuna kabila lipi linaloongea kitumbatu au kimakunduchi au kikojani au ki pemba?
 

Na waliompindua Nyerere ni watu wa kukumbukwa na kupewa nishani kwani Kama si mkoloni muingereza kumrudisha madarakani , tusingaliteseka chini ya shetani huyu CCM mpaka dakika hii.
 
Wewe Nadhani ndio una chuki na,SMZ na una mahaba na sultani aliyepinduliwa kaka
Wakati wa Sultani sikupatapo kuona mtu kauliwa au kupigwa na majeshi au mapolisi. Sultani hatujasikia kanunua meli mtumba pesa zikaibiwa. Hatujasikia mtu aliiba mkungu wa ndizi au shina la muhogo kwa njaa, hatukusikia mtu kunajisiwa kwa sababu ya kuwa chama pinzani wala majeshi au polisi kutesa watu au watu kukimbia nchi
 
Gavana,
Gavana,
Unyama uliotokea Zanzibar baada ya mapinduzi umeacha kovu kubwa sana.

Bahati mbaya walioshika madaraka wameshindwa kutibu kovu hili.

Na hii ndiyo sababu kuu leo CCM Zanzibar kila uchaguzi inashindwa imekata tamaa kama wataweza kushinda uchaguzi huru na wa haki.

Imefika mahali inashindwa na njia ya kujinusuru ni kufuta uchaguzi na kuitisha uchaguzi upya.

Wanazidi kudidimia kama wako katika "quick sand."

Lakini baya zaidi kisaikolojia CCM Zanzibar imeathirika kiasi inaamini njia ya kubaki madarakani ni matumizi ya silaha hata kama itabidi Wazanzibari kuuliwa.

Fikra hii imevunja juhudi yoyote kwa upande wao wa kushinda kwa haki.

Mapinduzi yamepoteza maana.
 
Kumbe haukuuwepo kipindi cha walowezi wa kiarabu kaka!!Nimekuelewa
 
Hebu niambie huko bara kuna kabila lipi linaloongea kitumbatu au kimakunduchi au kikojani au ki pemba?
Hizo zote lugha ulizozitaja ni lugha mseto na kiarabu!!!Na vizazi vyao vingi ni vya machotara walowezi wa kiarabu walizaa na mabibi wa kibantu au hujui ila ilikua marufuku kwa watumwa wa kibantu kuzaa na mabibi wa kiarabu!!!Rudia historia miaka 1500 hapo pwani ya afrika mashariki kaka
 
Mzee wangu ila unyama walioufanya walowezi wa kiarabu kwa karne nyingi haukuacha makovu kwa mababu zetu wa kibantu????
 
CCM haiwezi kudidimia zanzbar mzee wangu!!!
 
Na waliompindua Nyerere ni watu wa kukumbukwa na kupewa nishani kwani Kama si mkoloni muingereza kumrudisha madarakani , tusingaliteseka chini ya shetani huyu CCM mpaka dakika hii.
Aaaah nimeshakuelewa kaka mrengo wako wa kisiasa!!!Kumbe nyerere unamuita shetani
 
Mzee wangu ila unyama walioufanya walowezi wa kiarabu kwa karne nyingi haukuacha makovu kwa mababu zetu wa kibantu????
Tanja mzanzibari mmoja aliyeuwawa kwa kupinga serikali? Au kunajisiwa au kuchukuliwa Mali yake
 
Kwani hizi lugha Za bara hazina mseto na machotara wa kiarabu. Au bara hakujawahi kuishi waarabu ?Kumbe nimekuelewa huna kitu ukijuacho zaidi ya ubishi usio mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…