Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Jemshid ni mlowezi tu na alizaliwa na walowezi!!!!!Kuhusu watu waliodhulumiwa na walowezi wabaguzi wa zanzbar unazungumzia wakati wa jemshid au hao maslutani walowezi wa kabla yake?????Unataka tuanzie wapi kufahamishana kakaKwani mrengo wako haujulikani ?? Nimekuuliza taja nani Sultani Jemshid alimchukulia mali yake au kumuuwa kwa kujiunga na ASP au kunajisiwa familia yake au kununua meli ya mtumba au kujijengea majumba ya kifahari