Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Wewe muhuni kaka kumbe hata jamshidi hujui alikaa mda gani kaka???Umelikimbia swali hili huko nyuma
Sasa niambie wale waafrika waliompindua Nyerere unawaunga mkono au unawaunga mkono wale wazungu wakoloni waliomweka kibaraka wao Nyerere madarakani ??