Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Jemshid ni mlowezi tu na alizaliwa na walowezi!!!!!Kuhusu watu waliodhulumiwa na walowezi wabaguzi wa zanzbar unazungumzia wakati wa jemshid au hao maslutani walowezi wa kabla yake?????Unataka tuanzie wapi kufahamishana kakaKwani mrengo wako haujulikani ?? Nimekuuliza taja nani Sultani Jemshid alimchukulia mali yake au kumuuwa kwa kujiunga na ASP au kunajisiwa familia yake au kununua meli ya mtumba au kujijengea majumba ya kifahari
Jemshid ni mlowezi tu na alizaliwa na walowezi!!!!!Kuhusu watu waliodhulumiwa na walowezi wabaguzi wa zanzbar unazungumzia wakati wa jemshid au hao maslutani walowezi wa kabla yake?????Unataka tuanzie wapi kufahamishana kaka
Hiyo sio dini yangu ni dini ya wageni kutoka nje ya bara hili!!!!Mimi dini yangu ni ubantu na tuna mila na taratibu zetu msomi mwenzangu!!!!Ukristo na ubantu wapi na wapi kaka!!!Kwa hivyo dini yako si ukristo ??
Hiyo sio dini yangu ni dini ya wageni kutoka nje ya bara hili!!!!Mimi dini yangu ni ubantu na tuna mila na taratibu zetu msomi mwenzangu!!!!Ukristo na ubantu wapi na wapi kaka!!!
Msomi tunajadiliana au tunagombana?????Ebu nitajie kwanza huyo jemshid kakaaa madarakani mda gani kabla ya 1964 msomi mwenzangu??????Nisaidie kwa hilo afu tuendeleee!!!Tuache ushabiki wa kisiasa kakaBado unaruka ruka tu hujajibu swali, Kiswahili kinaanza kukupiga chenga
Nimekuuliza taja nani Sultani Jemshid alimchukulia mali yake au kumuuwa kwa kujiunga na ASP au kunajisiwa familia yake au kununua meli ya mtumba au kujijengea majumba ya kifahari
Msomi tunajadiliana au tunagombana?????Ebu nitajie kwanza huyo jemshid kakaaa madarakani mda gani kabla ya 1964 msomi mwenzangu??????Nisaidie kwa hilo afu tuendeleee!!!Tuache ushabiki wa kisiasa kaka
Au kaka gavana wewe sio msomi ni shabiki wa kisiasa na kidini huwezi majadiliano huru ndugu yangu?????Kuna sehemu nimemtaja wanyonyi?????Au wewe unajua wabantu tunapatikana wapi na wapi kaka????Kwa hivyo mungu wako ni Marehemu Wanyonyi ???
Si aririsishwa madaraka na wakoloni wa kiingereza baada ya nasaba wake sultani wa mwanzo kufa au sijui kaka???Jemshid akae madarakani kwani yeye alikuwa na madaraka ?? hata unachokiongea hukijui
Au kaka gavana wewe sio msomi ni shabiki wa kisiasa na kidini huwezi majadiliano huru ndugu yangu?????Kuna sehemu nimemtaja wanyonyi?????Au wewe unajua wabantu tunapatikana wapi na wapi kaka????
Si aririsishwa madaraka na wakoloni wa kiingereza baada ya nasaba wake sultani wa mwanzo kufa au sijui kaka???
Umeniuliza nikutajie dhuluma alizofanya na mimi nikakuomba nitajie alikaa kwenye throne kwa mda gani kabla hajaenda England kaka!!!!Ni hilo tu nimekuuliza????Au sitakiwi kukuuliza ndugu yangu????Jemshid akae madarakani kwani yeye alikuwa na madaraka ?? hata unachokiongea hukijui
Umeniuliza nikutajie dhuluma alizofanya na mimi nikakuomba nitajie alikaa kwenye throne kwa mda gani kabla hajaenda England kaka!!!!Ni hilo tu nimekuuliza????Au sitakiwi kukuuliza ndugu yangu????
Kiswahili sio lugha yangu ya kwanza kaka!!!Mimi mbantu na kifipa ndio lugha yangu ya kwanza kaka afu kinafuatia kiswahili kakaKumbe hata kiswahili hukielewi wala hufahamu kitu halafu unakuja kubishana
Kiswahili sio lugha yangu ya kwanza kaka!!!Mimi mbantu na kifipa ndio lugha yangu ya kwanza kaka afu kinafuatia kiswahili kaka
Mimi mbantu wa ufipani na hilo neno waafrika ni kiyunani sio kibantu!!!Sisi wafipa ni wabantu na mungu wetu haitwi wanyonyi na dini yetu sio hiyo kakaMimi nimekuuliza dini yako ukaniambia ni dini ya waafrika ndio nikakuuliza jee mungu wako ni Wanyonyi maana huyo ndiye mwafrika aliyejitangaza kuwa ni mungu au huitaki dini yake ??
Kaka uliniuliza swali kuhusu Jamshid na mimi nikakuuliza!!!Kwanini tusijibiane hayo maswali kaka tuache mambo mengine pembeni au umesahau???Kumbe hata huelewi chochote kuhusu Zanzibar zaidi ya propaganda za CCM ulizonyweshwa
Mimi mbantu wa ufipani na hilo neno waafrika ni kiyunani sio kibantu!!!Sisi wafipa ni wabantu na mungu wetu haitwi wanyonyi na dini yetu sio hiyo kaka
Ndio nijibu jamshid alikaa mda gani afu nitakujibu pia kaka hakuna shidaNimekuambia hata kama alikaa siku moja nitajie alimuuwa nani au kumdhulumu nani mali yake , au nani alimtia kilema wakati wa uchaguzi ??
Nijibu kwanza kaka kuhusu jamshidi afu tuendelee ndugu yanguSasa niambie wale waliompindua Nyerere unawaunga mkono au unawaunga mkono wale wazungu waliomweka kibaraka wao Nyerere madarakani ??
Mbona unakimbia swali kijanja au unataka thread yako iwe na post nyingiNdio nijibu jamshid alikaa mda gani afu nitakujibu pia kaka hakuna shida