Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Moise KATUMBI anachukua nchi mapema sana.
Sera zake za kurejesha amani na kujenga miundombinu ya maendeleo ndio silaha yake kuu.
Pia huyu jamaa anatumia Kiswahili katika kampeni zake, hii inafanya aweze kusikilizwa na wacongo katika majimbo yote.
Huko KISANGANI amefanya mafuriko haijawahi tokea.
Kumbuka kuwa KISANGANI sio kwao na kwajiografia ya Congo huyu tunasema alikua ugenini au ughaibuni lakini anakubalika sana.
Rais Kisekedi anatumia muda mwingi sana kumzungumzia Katumbi, hii inaonesha kuwa anamuogopa sana.
Congo wanatakiwa kumpa nchi huyu mwamba.
Jamaa ana kitu na ATAIVUSHA Congo