Moise Katumbi hakamatiki huko Congo DR .Tizama mafuriko yake Kisangani

Moise Katumbi hakamatiki huko Congo DR .Tizama mafuriko yake Kisangani

Inategemea Kanisa Katoliki linamtaka nani kwa sababu hii taasisi ndiyo mwamuzi wa siasa za Congo
 
Kila la heri kwake na ikitokea kashindwa,iwe kihalali au kwa mizengwe,akubali tu matokeo,wasije wakaendelea kumwaga damu.
 
Katumbi hashindi uchaguzi...

Si kwasababu hapendwi na wakongo

Anapendwa sana ila ni hatari kwa wakongo na kongo yenyewe.
 
Back
Top Bottom