Moise Katumbi hakamatiki huko Congo DR .Tizama mafuriko yake Kisangani

Moise Katumbi hakamatiki huko Congo DR .Tizama mafuriko yake Kisangani

Basi, niseme tu , uko under age, ndio maana unaona mtu akiongoza timu ya mpira anaeza ongoza nchi ...Ccm inawaharibu sana

Kwahiyo siku Eng Hersi akiomba kuongoza Tanzania mtampatia kisa ameongoza timu ya yanga ?

Rudi Shule kijana,huu mjadala mzito kwako
Mkuu utakuwa na minyoo, kwani timu siyo taasisi? Nyerere aliongoza nini kabla mpk akaongoza nchi?
 
Uchaguzi huru bado ni changamoto barani Afrika, kuna nyakati hata mataifa ya kibepari pia yanatia mikono ili kulinda maslah yao.
Congo DRC ni ndovu kama aliyeponzwa na meno yake kwa hiyo ushindi kwa Katumbi utategemea na mrengo wake wa kisiasa.
Nyuma ya pazia kuna mataifa mengi ya magharibi na mashariki yananufaika kwa siri na utajiri wa rasilimali wa Congo huku wananchi wakipewa silaha wamalizane wenyewe kwa wenyewe.
 
TP Mazembe nguvu moya bamutu ba congo mobimba nzambe na ngai moto oyo le shampe le gande mopao.
 
Kama ambavyo Boby Wine hatashinda ila ni kwa wizi tu na mabavu. East Africa tukipata viongozi hawa
TZ - Tundu Lissu
KE - PLO Lumumba
UG - Bobby Wine
Rw - Umuhoza
BR - Other than CNDD-FDD

Ukanda wetu utaendelea. Maghayo wewe ni mbusiii
Usijefanya UMUHOZA akawa AMEOZA, maana WATU wataozesha yeye kabla ya wakati !
😅
 
Uchaguzi huru bado ni changamoto barani Afrika, kuna nyakati hata mataifa ya kibepari pia yanatia mikono ili kulinda maslah yao.
Congo DRC ni ndovu kama aliyeponzwa na meno yake kwa hiyo ushindi kwa Katumbi utategemea na mrengo wake wa kisiasa.
Nyuma ya pazia kuna mataifa mengi ya magharibi na mashariki yananufaika kwa siri na utajiri wa rasilimali wa Congo huku wananchi wakipewa silaha wamalizane wenyewe kwa wenyewe.
Wadau wameshapanga matokeo,wanaamin akishinda katumbi uchaguz ni huru lkn jamaa akitetea kiti chake kaiba
 
Hao ndyo kama kina Kabila wameiuza Kongo kwa kagame na m7 wakongo nchi hawampi hakika
 
Muda wake bado
14e81b53ba33b5035d3fadccf9c8c74d.png

Pale NYARUGUSU, GEITA kuna kanisa la KATOLIKI linafanana na kanisa la ST. PETER & PAUL linalopatikana kule KATANGA, KONGO.

ed4802148a1a51a687a6c4a382ae08b7.png

Sasa kila nikiangalia hizi picha nakumbuka KRIMASI YA 2021 nilisali pale NYARUGUSU, GEITA.
 
Kama ambavyo Boby Wine hatashinda ila ni kwa wizi tu na mabavu. East Africa tukipata viongozi hawa
TZ - Tundu Lissu
KE - PLO Lumumba
UG - Bobby Wine
Rw - Umuhoza
BR - Other than CNDD-FDD

Ukanda wetu utaendelea. Maghayo wewe ni mbusiii
Tundu Lissu hafai kwa raisi, ana mihemuko mingi mno, + ana Umuch know mwingi mnooooo
 
Back
Top Bottom