Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Uchaguzi ukiwa wa haki. Katumbi anashindaHahahahaha,ni kawaida kujaza na kushinda ni kitu kingine
Hashindi Mkuu ,nieleweUchaguzi ukiwa wa haki. Katumbi anashinda
Tukuelewee we nan kwani...Hashindi Mkuu ,nielewe
Na wewe unataka nikuelewe we naniTukuelewe
Tukuelewee we nan kwani...
Yupo kinyume na maslahi ya kundi lipi mkuu?Hashindi Mkuu ,nielewe
Muda wake badoYupo kinyume na maslahi ya kundi lipi mkuu?
Deep state bado inamaslahi na Tshekedi?
Katumbi anapaswa anapaswa kujifunza kwa yaliyomtokea mamvi na mafuriko yakeMoise KATUMBI anachukua nchi mapema sana.
Sera zake za kurejesha amani na kujenga miundombinu ya maendeleo ndio silaha yake kuu.
Pia huyu jamaa anatumia Kiswahili katika kampeni zake, hii inafanya aweze kusikilizwa na wacongo katika majimbo yote.
Huko KISANGANI amefanya mafuriko haijawahi tokea.
Kumbuka kuwa KISANGANI sio kwao na kwajiografia ya Congo huyu tunasema alikua ugenini au ughaibuni lakini anakubalika sana.
Rais Kisekedi anatumia muda mwingi sana kumzungumzia Katumbi, hii inaonesha kuwa anamuogopa sana.
Congo wanatakiwa kumpa nchi huyu mwamba.
Jamaa ana kitu na ATAIVUSHA Congo
View attachment 2820364
Si yeyote tu anaweza kuwa rais na mifano ipo mingi tuUnajua kuna watu wanadhani urais ni wao tu wameandikiwa kumbe ni mtu yeyote anaweza kuwa presidaa