Moise Katumbi hakamatiki huko Congo DR .Tizama mafuriko yake Kisangani

Mkuu utakuwa na minyoo, kwani timu siyo taasisi? Nyerere aliongoza nini kabla mpk akaongoza nchi?
 
Uchaguzi huru bado ni changamoto barani Afrika, kuna nyakati hata mataifa ya kibepari pia yanatia mikono ili kulinda maslah yao.
Congo DRC ni ndovu kama aliyeponzwa na meno yake kwa hiyo ushindi kwa Katumbi utategemea na mrengo wake wa kisiasa.
Nyuma ya pazia kuna mataifa mengi ya magharibi na mashariki yananufaika kwa siri na utajiri wa rasilimali wa Congo huku wananchi wakipewa silaha wamalizane wenyewe kwa wenyewe.
 
TP Mazembe nguvu moya bamutu ba congo mobimba nzambe na ngai moto oyo le shampe le gande mopao.
 
Kama ambavyo Boby Wine hatashinda ila ni kwa wizi tu na mabavu. East Africa tukipata viongozi hawa
TZ - Tundu Lissu
KE - PLO Lumumba
UG - Bobby Wine
Rw - Umuhoza
BR - Other than CNDD-FDD


Ukanda wetu utaendelea. Maghayo wewe ni mbusiii
Usijefanya UMUHOZA akawa AMEOZA, maana WATU wataozesha yeye kabla ya wakati !
😅
 
Wadau wameshapanga matokeo,wanaamin akishinda katumbi uchaguz ni huru lkn jamaa akitetea kiti chake kaiba
 
Hao ndyo kama kina Kabila wameiuza Kongo kwa kagame na m7 wakongo nchi hawampi hakika
 
Kama ambavyo Boby Wine hatashinda ila ni kwa wizi tu na mabavu. East Africa tukipata viongozi hawa
TZ - Tundu Lissu
KE - PLO Lumumba
UG - Bobby Wine
Rw - Umuhoza
BR - Other than CNDD-FDD


Ukanda wetu utaendelea. Maghayo wewe ni mbusiii
Tundu Lissu hafai kwa raisi, ana mihemuko mingi mno, + ana Umuch know mwingi mnooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…