Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaa.... we mwanamke una visa, hivi naanzaje kukutongoza?
Umekariri kutongoza ni kumwambia mwanamke nakupenda
kutongoza hata kumtazama tu na kutabasam inatosha
hata kumsalimia tu na kumuuliza kitu nayo ni kutongoza....
Wenzio hawasemi tena nakupenda....ni kusalimia tu na kuongea chochote kilichopo hapo
hata mpira au diamond na wema au watangaza nia wa ccm....
halafu taratibu unajisogeza
Ni kile kitetendo cha kutokea mwanamke na kumwambia nakupenda, nimejaribu zaidi ya mwaka lakini nikubali tu kutongoza imenishinda aisee. Jumlishia pesa yenyewe ya kuunga unga! Naweza kumpenda msichana mpaka nalia lakini kumwambia nimeshindwa daa pole yangu kwa kweli.
Huko nako nikutongoza pia