Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Poa saangapi vile wanalala hao ulio sema
Usiku wa manane unidipu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa saangapi vile wanalala hao ulio sema
Kwa hivyo mbona tunaongea sana, kama kubadilshana mawazo kufunzishana Biblia na mengi tuu sema shida nimpende mmoja ile kumwanza ndio imekua ngumu kwangu
Sita sahau siku nilipompenda mdada mmoja mpaka nikalia chozi lakini kumwambia au kumwonyesha nilishindwa, nikajisemea si vyote viwezekanavyo kwa kweli.
Ni kile kitendo cha kutokea mwanamke na kumwambia nakupenda, nimejaribu zaidi ya mwaka lakini nikubali tu kutongoza imenishinda aisee. Jumlishia pesa yenyewe ya kuunga unga! Naweza kumpenda msichana mpaka nalia lakini kumwambia nimeshindwa daa pole yangu kwa kweli.
Umeshaweza kutongoza?Ni kile kitendo cha kutokea mwanamke na kumwambia nakupenda, nimejaribu zaidi ya mwaka lakini nikubali tu kutongoza imenishinda aisee. Jumlishia pesa yenyewe ya kuunga unga! Naweza kumpenda msichana mpaka nalia lakini kumwambia nimeshindwa daa pole yangu kwa kweli.