Moja kati vitu vilivyonishinda

Mi huwa nampa mkono tu wakati Wa kusalimiana. Baada ya hapo huwa ananifata kama kondoo vile !
 
tukusaidiaje????
 
Kutongozana zamani hiyo, kuna mwenzako alijisifu kuopoa mademu 11 badoo, nawe jaribu bahati yako
 
Mbona rahisi tuu kama kumsukuma mlevi.wew muanze hivi " dada mambo" atakujibu poa then muulize "shemeji mzima?" Asilimia nyingi hucheka na kusema " shemeji hayupooo" thn muulize tena "je akija" utasikia ohh "akija nitamfikiria" mwambie okey "basi nenda kanifikirie mimi"
 
Umetisha mbaya mkuu hiyo LAzima nikaiapply kwa motto mkali
 
Ivi karne hii bado kunakutongozana? Kutongozana kulikua enzi za miaka ya 80, unavizia dem jioni akiwa anaenda kuchukua maziwa kwa jirani unaunga tela, huku unatafuna big G na mikanda ya video ya VHS umeishika, manake enzi hizo ndo ilikua ujiko. Unasomesha miezi sita ndo unakula denda, then mwezi wa tisa unapewa kamoja ka juu juu, unawehuka unaenda hadithia washkaji kijiweni wanakuona kidume!

Sasa hivi kanyaga twende, unatanguliza uongo mwingi na chipsi yai na savannah mbili, unakula mzigo, kwaulaini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…