Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Ukisikia "story" za vijiweni ndio hizi hapa!.. Lakini swali la kujiuliza ni > Mtoa hoja hii ana lengo gani hasa?. 😳
Lengo gani jingine zaidi ya kutapeli watu kwa kuwauzia kitabu chenye fake story wakiaminishwa kuwa ni true story?