Moja kati ya siku ngumu kwa Cercei Lannister

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Hii ni siku ambayo Cercei alienda kusikiliza hukumu yake na mfalme ambae alikuwa ni kijana wake akafanya maamuzi kuwa mama yake ana makosa na kesi yake itaamuliwa sio kwa trial by combat.

Hii ilimfanya baadae Cercei aje na mpango uliowafuta kabisa wale waliokuwa mahakamani kwa mlipuko mkali na mfalme akajiua kwa kujitupa ghorofani baada ya kujua kuwa malkia ni mmoja wapo wa wahanga
"The things we do for love" GOT

 
Yah GOT unajua hapa king Toman ndio alikuwa amebaki peke yake baada ya Jofrey na Maycellar kufariki Cercei aliishiwa nguvu huyo grand mester akaja na wazo gumu Cercei alimzuia mfalme asiende kule mahakamani ila haikusaidia
 
Uzi tayar
Cc: Da'Vinci
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…