BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Limbukeni hiloWewe una hela nyingi sana ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limbukeni hiloWewe una hela nyingi sana ?
Hilo kalio likifunuliwa linakuaje hadi useme uchafuIli ufaidi matako yao, maana weusi makalio walibarikiwa. Sema tu wengi wao wachafu wachafu, kalio linavutia likiwa ndani, ukilifunua unaweza toka nduki
Acha tu mdogo angu, sio wote lakini!.siwez eleza hapa ila wadau washajuaHilo kalio likifunuliwa linakuaje hadi useme uchafu
Sio kweli ni ya watu wapumbavu wabinafsi na wasiokuwa watu wa watu iwe majirani ,ndugu,marafiki,wanaofanya nao kazi au biashara nk
Ndoa kama hixo ni watu ambao hata ndugu hawataki wanajioza wenyewe.Wakati kawaida jamii ndio inatakiwa ikuoze .Watu wanaofurika ndio waozaji ukiona wachache jua hao sio wati wa watu kaa nao mbali ni watu wa maisha self-contained hao.
Ulivyosema mdogo angu akilini kanijia Nelson Jacob Kagame ndo ananiitaga hivyo.😂Acha tu mdogo angu, sio wote lakini!.siwez eleza hapa ila wadau washajua
Ehehehehe unataka kusema na hii ni ID moja na hiyo 😂😂😂😂Ulivyosema mdogo angu akilini kanijia Nelson Jacob Kagame ndo ananiitaga hivyo.😂
I never know labda shekhe yuleyule
Hapana! Ila nimemkumbuka amezoea kuniita hivyo...Ehehehehe unataka kusema na hii ni ID moja na hiyo 😂😂😂😂
Issue watu wa aina hiyo ni wabinafsi huwezi waona hata kwenye kuchangia harusi au misiba ya wengine.Harusi ya majizo mmiliki wa EFM na Lulu ilikuwa kama hizo. Je lulu na majizo hanawana watu, ama hawana network ?
Harusi ya Millard Ayo ilikuwa kama hizo, je millard Ayo hana watu ama hana network ?
Wazungu wanafanya harusi kama hizo za watu wachache, je wazungu hawana watu ama hawana network ?
Issue watu wa aina hiyo ni wabinafsi huwezi waona hata kwenye kuchangia harusi au misiba ya wengine.
Hivyo hujua wazi wakiwa na harusi zao hakuna watakaowachangia.Hivyo kujificha kwenye hilo chaka la harusii za watu wachache sijui.sita nk wanajua network kwenye za kuchangiana harusi wao hawamo hivyo wanakuwa hawana network kwenye eneo hilo.Waweza kuwa na network kwenye maeneo mengine lakini sio hilo
Hapana! Ila nimemkumbuka amezoea kuniita hivyo...
Ukisajili laini mpya usisite kunipa taarifa🤸♀️
Nibeep tena leo! Make sure iwe leo ili nisave number😂Ahahahah...kanzu mpya tayari mama, ishaanza kupiga jaramba kufikia u- expert ili nianze ku interact. Ilishaku beep one time kwa mbaaali, soon hii inaenda off tar 5 april mwisho baada ya kutoka kwa Madiba Ubuntu botho 😂😂
😂😂😂😂 aahhaha unaweza usiamin hakyani maana personality yake ni toooofauti.Nibeep tena leo! Make sure iwe leo ili nisave number😂
Mimi na wewe damu damu! Usiwaze😂😂😂😂 aahhaha unaweza usiamin hakyani maana personality yake ni toooofauti.
Hata wakimchangia Harusi itakuwa na hao wafanyakazi tu.kuepusha aibu kuwa anaifanya private sababu yasijeanza majungu kuwa harusi ilifurika wafanyakazi tu ndugu hawakuwepoWewe mjinga kweli, unajua majizo kaajiri watu wangapi kwenye media yake. Je staff wake tu hawawezi mchangia afanye harusi ?
Unajua millard Ayo ameajiri watu wangapi ? Na pale clouds kuna wafanyakazi wenzake wangapi ? Je hao wa clouds tu hawawezi mchangia afanye harusi ?
Huwa wengine wana matatizo yaoHizo ni harusi za jamii yenye akili sana
Harusi ya majizo mmiliki wa EFM na Lulu ilikuwa kama hizo. Jiulize Je lulu na majizo hawana watu wa kuwachangisha ?, ama hawana network ?
Harusi ya Millard Ayo ilikuwa kama hizo, je millard Ayo hana watu wa kuwachangisha
Hau beep-kiki sasa ndio shida 😂Mimi na wewe damu damu! Usiwaze