Moja ya hotuba nadra sana kuisikia nyakati hizi

Moja ya hotuba nadra sana kuisikia nyakati hizi

Je ndugu wa Saa8 wanshughlikei nani? Utakuwa na wewe ndiyo mlikuwa mnaitwa wanyonge then mnabubujikwa na machozi ya furaha
Cc Lucas Mwashambwa
Kwani ndugu wa Mzee Ali kibao wanamshughulikia nani? huyo ni rais Bora wa vizazi vyote ktk taifa hili...vyeti feki mlitafuna sana nchi hii chuma akawanyoosha!
 
Baada ya JK atakuja rais mchekeshaji lakini mchapazi..huyu atatawala kwa muda mfupi na baada ya hapo atakuja rais mwanamke... Halafu......📌🔨
Kitakacho fuata ni MENE MENE TEKELI PERESI kama Belshazzar..
 
MTOTO anapofeli masomo tunapaswa tujiulize yafuatayo.

1. Je, mzazi alitimiza jukumu lake?

2. Je, waalimu walitoa msaada, na kutimiza wajibu?

3.Je, serikali iliweka mazingira mazuri kwa waalimu, na wanafunzi?

4. Je, mwanafunzi alizingatia masomo, na nidhamu?

5.Jamii anamoishi mtoto ilimlinda katika safari yake ya masomo?

..Mtoto anatakiwa afuatiliwe maendeleo yake wakati wote.

..Mara nyingi wazazi huwa tunakumbuka kufuatilia maendeleo ya mtoto ktk mwaka anaofanya mitihani ya kitaifa. Na bahati mbaya huwa tunakuwa tumeshachelewa.
 
Upumbavu kama huu nyakati hizi ni kawaida kushamiri, Enzi za Rais, hakuna ujinga kama huu uliochora chora hapa

..hicho alichokuwa anazungumza Jpm ndio upumbavu.

..Na bahati mbaya nafasi na mamlaka yake yaliweka mazingira ya kuambukiza tabia hiyo kwa watu wengi.

..mtawala anapodai mtoto aliyefeli masomo afungwe jela sio mpumbavu?
 
Wewe ni mpumbavu pamoja na huyo chuma wako
JPM rip alisema awezi kupedwa na wote ata ndani ya CCM wapo awanipendi kwaiyo ww ndio ktk wale msiompenda lkn JPM ni Shujaa wa Africa utoweza kufifisha kalama yake.
 
Moja ya hotuba zake bora ni nadra sana kuzisika kwasasa.

View attachment 3215977
Japo namkubali JPM, hapa hakuwa sahihi. Kuna factors nyingi sana zinachangia watu kufeli japo sio wajinga.

Obvious mtu kama Mbowe sio mjinga, ni mfanyabiashara na mwanasiasa mzuri tu. Kuna watu wengine wako vizuri elimu ya practical, wengine wana-panick siku ya mtihani, wengine wanatoka familia duni, chakula, shida, mazingira siyo rafiki kusoma.
 
Japo namkubali JPM, hapa hakuwa sahihi. Kuna factors nyingi sana zinachangia watu kufeli japo sio wajinga.

Obvious mtu kama Mbowe sio mjinga, ni mfanyabiashara na mwanasiasa mzuri tu. Kuna watu wengine wako vizuri elimu ya practical, wengine wana-panick siku ya mtihani, wengine wanatoka familia duni, chakula, shida, mazingira siyo ragiki kusoma.


..Magufuli ni mwalimu kitaaluma.

..sasa fikiria mwalimu anatoa kauli kama hiyo.

..kwa hotuba yake hii sidhani kama alikuwa mtu salama kumkabidhi watoto awalee na kuwafundisha.
 
JPM rip alisema awezi kupedwa na wote ata ndani ya CCM wapo awanipendi kwaiyo ww ndio ktk wale msiompenda lkn JPM ni Shujaa wa Africa utoweza kufifisha kalama yake.
Tanzania wajinga ni wengi, jiwe aliwatumia kama mtaji wake. Wewe ndiyo wale mlikuwa mnaitwa wanyonge.
 
Kwani ndugu wa Mzee Ali kibao wanamshughulikia nani? huyo ni rais Bora wa vizazi vyote ktk taifa hili...vyeti feki mlitafuna sana nchi hii chuma akawanyoosha!
Akaamua kumbangua risasi ya kichwa Ben Saanane Ikulu kwa kumwambia kweli kuwa ana degree fake.

Degree fake siyo cheti fake? Mwenye cheti fake anawaumbua wenye vyeti fake. Huyu jamaa alikuwa na maisha fake bora alivyoenda zake.

AKANDAMIZWE NA MAWE HUKO KUZIMU ILI MZIMU WAKE USIRUDI KUENDELEZA MAUAJI
 
Back
Top Bottom