Na polisi wa CCM wakamuachia. CCM imetengeneza majuha kweliKuhusu ben Mbowe anajua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na polisi wa CCM wakamuachia. CCM imetengeneza majuha kweliKuhusu ben Mbowe anajua.
Etywacgua madwnibya matrilioni k1ankukurupuka kwake na makinikia.Huyu ndiye mtu wa maana
Nimejuuuuta kuifungua hii.
Shujaa kwa kumbangua Ben Saanane risasi ya kichwa kwa kumwambia kuwa ana degree fake? Degree fake siyo cheti fake?JPM rip alisema awezi kupedwa na wote ata ndani ya CCM wapo awanipendi kwaiyo ww ndio ktk wale msiompenda lkn JPM ni Shujaa wa Africa utoweza kufifisha kalama yake.
Wewe utakuwa masikini au mnyongeWatakuja wenzangu wa vyeti fake. Ndo tunamchukia sana Magufuli.
Hilo li nyau lipate shida sana huko lilipo, ikibidi life pia hata huko motoni lilipoAendelee kupumzika kwa amani Daktari
Sometimes ili watu waelewe, inatakiwa kutumia aina hii ya Lugha
Hata kwenye familia zetu, uki-mess up familia lazima ikushinde
Alikusaidia kitu gan mbona umebaki na unyonge wakoMY ONLY PRESIDENT EVER
Mnyonge na maskini ni mwenye vyeti fake. Mimi nazunguka na Ujumbe wa.....nchi mbalimbali. Huwezi jilinganisha nami hata chembe. Nipo USA kwa Sasa. Washington DC.Wewe utakuwa masikini au mnyonge
Samehe na kusahau, the Monster is no more 🥲Hilo li nyau lipate shida sana huko lilipo, ikibidi life pia hata huko motoni lilipo
Hakuna mtu anayejielewa akakubali kujiita mnyonge. Jiwe alikubalika sana kwa watu wajinga na wakawa wanajiita wanyonge. Taja mtu mmoja nchini Tanzania aliyewahi kumkubali jiwe zaidi ya nyie mnaojiita wanyonge. Hata mkewe tu hakumbubali huyo shujaa wenuMnyonge na maskini ni mwenye vyeti fake. Mimi nazunguka na Ujumbe wa.....nchi mbalimbali. Huwezi jilinganisha nami hata chembe. Nipo USA kwa Sasa. Washington DC.