Kwani ndugu wa Mzee Ali kibao wanamshughulikia nani? huyo ni rais Bora wa vizazi vyote ktk taifa hili...vyeti feki mlitafuna sana nchi hii chuma akawanyoosha!Je ndugu wa Saa8 wanshughlikei nani? Utakuwa na wewe ndiyo mlikuwa mnaitwa wanyonge then mnabubujikwa na machozi ya furaha
Cc Lucas Mwashambwa
Kitakacho fuata ni MENE MENE TEKELI PERESI kama Belshazzar..Baada ya JK atakuja rais mchekeshaji lakini mchapazi..huyu atatawala kwa muda mfupi na baada ya hapo atakuja rais mwanamke... Halafu......📌🔨
Kuhusu ben Mbowe anajua.Je ndugu wa Saa8 wanshughlikei nani? Utakuwa na wewe ndiyo mlikuwa mnaitwa wanyonge then mnabubujikwa na machozi ya furaha
Cc Lucas Mwashambwa
Mboye!Je ndugu wa Saa8 wanshughlikei nani?
... hii gombaniaGoli ya mwaka huu!Baada ya JK atakuja rais mchekeshaji lakini mchapazi..huyu atatawala kwa muda mfupi na baada ya hapo atakuja rais mwanamke... Halafu......📌🔨
Upumbavu kama huu nyakati hizi ni kawaida kushamiri, Enzi za Rais, hakuna ujinga kama huu uliochora chora hapaWewe ni mpumbavu pamoja na huyo chuma wako
Upumbavu kama huu nyakati hizi ni kawaida kushamiri, Enzi za Rais, hakuna ujinga kama huu uliochora chora hapa
Vipi kuhusu ye mwenyewe, Ben Saanane aliuawa kwa kuhoji vyeti vya jiweHakuna watu wenye hasira na Magu kama vyeti feki🤣🤣
JPM rip alisema awezi kupedwa na wote ata ndani ya CCM wapo awanipendi kwaiyo ww ndio ktk wale msiompenda lkn JPM ni Shujaa wa Africa utoweza kufifisha kalama yake.Wewe ni mpumbavu pamoja na huyo chuma wako
Aisee! Kijana, acha ujinga, sishikiwi akili mimi, narudia tena, uliza mzazi uchungu wa mali yake kusomesha mpumbavu..Magufuli amekuambukiza upumbavu.
nimekupata vema
Japo namkubali JPM, hapa hakuwa sahihi. Kuna factors nyingi sana zinachangia watu kufeli japo sio wajinga.
Japo namkubali JPM, hapa hakuwa sahihi. Kuna factors nyingi sana zinachangia watu kufeli japo sio wajinga.
Obvious mtu kama Mbowe sio mjinga, ni mfanyabiashara na mwanasiasa mzuri tu. Kuna watu wengine wako vizuri elimu ya practical, wengine wana-panick siku ya mtihani, wengine wanatoka familia duni, chakula, shida, mazingira siyo ragiki kusoma.
Tanzania wajinga ni wengi, jiwe aliwatumia kama mtaji wake. Wewe ndiyo wale mlikuwa mnaitwa wanyonge.JPM rip alisema awezi kupedwa na wote ata ndani ya CCM wapo awanipendi kwaiyo ww ndio ktk wale msiompenda lkn JPM ni Shujaa wa Africa utoweza kufifisha kalama yake.
Akaamua kumbangua risasi ya kichwa Ben Saanane Ikulu kwa kumwambia kweli kuwa ana degree fake.Kwani ndugu wa Mzee Ali kibao wanamshughulikia nani? huyo ni rais Bora wa vizazi vyote ktk taifa hili...vyeti feki mlitafuna sana nchi hii chuma akawanyoosha!