Moja ya kanuni ukitaka maendeleo uwe na roho mbaya je kweli?

Moja ya kanuni ukitaka maendeleo uwe na roho mbaya je kweli?

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Wadau juzi nilikutana na rafiki yangu ambaye tumepoteana muda mrefu amepiga hatua kubwa sana kimaisha nikamuuliza katika mazungumzo yetu kauli yake ni moja tu kaka ukitaka kusogea kimaisha toka hapo ulipo unatakiwa uwe na roho mbaya sana utafanikiwa.

Hii kauli mpaka sasa naitafakali.
 
Hiyo ni according to Walimwengu Lkn Kidini siyo hivyo.Roho nzuri ndo kila Kitu.
 
I think alichomaanisha ni usiwe emotional juu ya pesa.

Simple and clear.
 
Kweli kuna watu ni takers yani wao kazi yao ni kupokea tu... ukicheka nao watakumaliza
1611003635436.png
 
Inawezekana , maana wenye roho mbaya ndio wenye mapene , labda kwa sisi wenye network za ulaya
 
Back
Top Bottom