Wadau juzi nilikutana na rafiki yangu ambaye tumepoteana muda mrefu amepiga hatua kubwa sana kimaisha nikamuuliza katika mazungumzo yetu kauli yake ni moja tu kaka ukitaka kusogea kimaisha toka hapo ulipo unatakiwa uwe na roho mbaya sana utafanikiwa.